alikiba

@officialalikiba  Sony Music International , RockStar4000 Artist & Partner. MTV EMA Best African Artist. 'Seduce Me' now on AlikibaVEVO 👇🏾

3 weeks ago

Ulikuwa wakati mzuri mimi na wasanii wenzangu tulipopata nafasi ya kutembelea shule ya wasichana Arusha ( Arusha Girls ) #CloudsMediaGroup walikuwa wanazindua rasmi kampeni ya #Kipepeo kwa mwaka huu. Ni kitu kizuri kwa mabinti na kwetu wasanii kwa sababu tunapata nafasi ya kujumuika pamoja na kuwa encourage wadogo zetu. #Kipepeo #SupportedByKiba #Rockstar4000 #KingKiba

3 weeks ago

Wengi tuna watoto, wengine tuna ndugu wana watoto wadogo, tuna marafiki wana watoto; wote hawa wanahitaji kuishi bila hofu. Kwanini tusichague kusema #IshiNaMimi🇹🇿 na kisha tuishi kwa upendo na kulindana? Poleni sana familia zilizopoteza watoto wao. Poleni watu wangu wa Arusha! #supportedbykiba #KingKiba